NEW VIDEO: BOB HAISA - LAMSONDO

Muimbaji wa mduara, Bob Haisa amerejea tena baada ya ukimya wa muda mrefu. Awamu hii amekuja na wimbo uitwao ‘Lamsondo’uliotayarishwa na King Fenya kutoka Mbunda Records huku video yake ikiongozwa na Kenny Ukiyz kutoka Peace Film Production. Itazame haoa.
TAG