Wakazi wa Mbeya walijitokeza kupokea shangwe za Serengeti Fiesta 2014 usiku wa kuamkia leo. Show hiyo ilifana kwa kiasi kikubwa. Tazama picha za show hiyo.
Mr Blue
Mr Blue na TID
Naylee alikuwepo kutoa burudani nyumbani
Nay wa Mitego
Mtangazaji wa Clouds TV Nickson George
Rais wa Manzese Madee
Recho akiwapa burudani wakazi wa mbeya
Ray na Shakira
Stamina na Nay wa Mitego
TID alifunika kinoma
TID Mnyama akifanya yake
Barnaba aliwaimbisha wakazi wa Mbeya
Dj Fetty alipata shangwe za kutosha kutoka Mbeya
Godzilla akisikiliza mashabiki wanavyoimba
Ilikuwa ni nomaaaa
Linah alipata shangwe za kutosha Mbeya
Linex
Ma Dee na Reymond
No comments
Post a Comment