Picha: Wakazi wa Geita wapata shangwe za Serengeti Fiesta 2014

Shangwe za Serengeti Fiesta 2014 Jumamosi ya jana (14 September) zilidondoka ndani ya mkoa wa Geita katika ukumbi wa Desire na kuacha burudani ya nguvu kutoka kwa wasanii mbalimbali.
Mr Blue akiimba mashabiki
Mr Blue akiimba na mashabiki
Fiesta ambayo ni kwa mara ya kwanza kutoa buruduani Geita ilijumuisha burudani kutoka kwa wasanii kama Linah, Ommy Dimpoz, Recho, Khadija Maumivu, Young Killer Msodoki, Mr Blue, Stamina, Chege na Temba pamoja na Nay wa Mitego.
Fid Q akiwa  na mchumba toka Geita
Fid Q akiwa na mchumba toka Geita
Full shangwe
Full shangwe
Linah akiwa na Amini wa Geita
Linah akitimiza ndoto za kijana wa Geita
Mo Music akifanya yake
Nay wa Mitego
Nikki wa Pili akifanya yake
Nick wa Pili akifanya yake

Ommy Dimpoz akifanya yake
Ommy Dimpoz akifanya yake
Barakah Da Prince
Barakah Da Prince
Recho
Recho
Stamina
Stamina
Young Killer
Young Killer
IMG_7118
IMG_7170
IMG_7195
IMG_7205
IMG_7219
IMG_7221
IMG_7226
IMG_7235
IMG_7243
IMG_7262
IMG_7272
IMG_7274

IMG_7304
TAG