BBAHotshots: Washiriki wawili waondolewa.

Mira-Resa-1200x930-1413182183
Mwakilishi wa Msumbiji, Mira na wa Zambia, Resa wamekuwa washiriki wa kwanza kutolewa kwenye shindano la Big Brother Africa – Hotshots.
Resa na Mira walipata kura chache zaidi.
Wasanii waliotumbuiza kwenye eviction show ya kwanza ni Olamide na Phyno wa Nigeria.
Tanzania inawakilishwa na Idris Sultan na Laveda.
TAG