Nicki Minaj kuhost tuzo za 2014 MTV EMA ambazo Diamond wa TZ anawania.

minajMTV wamemtangaza rapper Nicki Minaj kuwa ndiye atakuwa host wa tuzo za 2014 MTV Eurrope, MTV EMA ambazo Mtanzania Diamond Platnumz pia ni miongoni mwa nominees kutoka Afrika.
Nicki Minaj licha ya kuhot lakini pia atatumbuiza kwenye tuzo hizo zinazotarajiwa kutolewa November 9 na kuoneshwa live kutoka jijini Glasgow, Scotland.
Kupitia Instagram Nicki aliandika:
“So excited to announce that I will not only perform, but I have the honorable task of HOSTING this year’s MTV European Music Awards!!!!!!! AAAAAHHHHHHH!!!!!!!!!!! The show will shoot in GLASGOW, SCOTLAND for its 20th Anniversary ON NOVEMBER 9th!!!!”

“SCOTLAND R U READY?!?!! UK ARE U READY?!?! WORLD R U READY?!?!!! Do u know how many countries this show will air in my darlingzzzzz?!?!!!! #MTVEMA lots of surprises coming @mtvema – vote now at mtvema.com right now!!!! “
TAG