Picha: AY aanza kushoot video 2 Marekani ikiwemo ya collabo yake na Sean Kingston.

AY-US2
AY yuko nchini Marekani ambako ameenda kushoot video mbili kama alivyoahidi hivi karibuni wakati anaachia wimbo wake mpya ‘It’s Going Down’ aliowashirikisha Ms Triniti na Lamyia.
Mzee wa Commercial ameshare picha Instagram akiwa location na msanii Mjamaica-Mmarekani Sean Kingston na kuandika:
“Bongo Flava we’ve arrived to Hollywood Hills…I’ll tell u later what m doin here with @seankingston #TANZANIA #Jamaica “.
AY US-1
AY na producer Riley
Katika picha nyingine ameandika,“On set with de illest @producerriley #HollywoodHills”
AY pia alirepost post ya Producer Riley ambaye aliweka picha ya location yenye hashtag za Sean Kingston na Ms Triniti:
“Tanzanians best AY and I shooting a video for the next single. Looking for our second #1 video in Africa !! #africa #ay #tanzania #seankingston #mstriniti”
riley
Siku chache zilizopita AY aliiambia BONGO 5 kuwa November anatarajia kuachia collabo yake na Sean Kingston iliyokaa muda mrefu bila kutoka. Katika Interview nyingine aliyofanya na kituo cha Times Fm hivi karibuni, AY alisema kuwa amepanga kuachia video mbili kwa mpigo mwezi ujao.
Source: Bongo5
Tags