Picha: Mrembo huyu wa kizungu ndiye mpenzi wa Adam Nditi!

Adam Nditi akiwa na mrembo Melissa Kerwood
Adam Nditi akiwa na Melissa Kerwood

Mchezaji Mtanzania wa aliyekuwa akichezea timu ya vijana ya Chelsea, Adam Nditi amemweka wazi mpenzi wake. Msichana huyo anaitwa Melissa Kerwood.
Kupitia ukurasa wa Twitter, Adam amemwandikia mrembo huyo ujumbe huu kumpongeza kwenye siku yake ya kuzaliwa: Happy Birthday to my beautiful girlfriend @Melissa_kerwood Hope your day is as special as what you are to me! I love you lots.
Girlfreand wa Adam Nditti
10693472_753225488068782_1692306046_n
Adam
Happy Birthday to my beautiful girlfriend @melissa_kerwood Hope your day is as special as what you are to me! I love you lots xxxx️
TAG