Picha: T.I. ,Davido, Waje, Victoria Kimani wazungumza na waandishi wa habari Dar jana.

T.I akizungumza na waandishi wa habari
T.I akizungumza na waandishi wa habari

Wasanii wa muziki wa kimataifa rapper T.I., Davido, Waje, Patoraking na Victoria Kimani wamezungumza na waandishi habari mbele ya show ya Serengeti Fiesta Dar es Salaam. Tazama picha.
Wakizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteliya Sea Cliff jijini Dar es Salaam wasanii wao kila mmoja alitoa ahadi ya kufanya show nzuri.
Davido akizungumza na waandishi wa habari kuhusu show ya leo
Davido akizungumza na waandishi wa habari kuhusu show
Mbunifu akiwa na T.I kumkabidhi picha yake
Mchoraji picha akimkabidhi T.I kumkabidhi picha aliyomchora
Mkurugenzi wa serengeti akizungumza na waandishi wa habari
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Ganon akizungumza na waandishi wa habari
Victoria Kimani akiwa na mdau wa Serengeti
Victoria Kimani akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Serengeti, Emphraim Mafuru

IMG_5693

IMG_5712

IMG_5716

IMG_5719

IMG_5734

IMG_5739

IMG_5742
IMG_5753
TAG