Akizungumza na watoto hao, Linah Sanga alisema kila binadamu ili kufanikiwa hupitia kwenye vipindi vigumu hivyo in muhimu kusaidiana.
“Binadamu ili kufanikiwa anapitia kwenye mitihani migumu sana kwahiyo sisi ni binadamu tusiache kusaidia kivyovyote,” alisema Linah.
Pia wasanii mbalimbali walizungumza na watoto hao pamoja na kuwapa zawadi za pesa ili ziwasaidie katika mahitaji yao binafsi.
Adam Mchomvu akiwa na watoto
Baadhi ya misaada iliyotolewa
Barakah akiwa na Mr Blue
Fred wa Makomando
Ice Boy akiwa na watoto
Linah na Recho
No comments
Post a Comment