Redsan na producer wake, Mtanzania, Sappy wakamatwa kwa tuhuma za ugaidi.

redsan

Polisi nchini Kenya jana walimkamata na kumshikilia kituoni muimbaji wa ‘Badder Than Most’ Redsan na producer wake Mtanzania, Sappy kwa tuhuma za ugaidi.
Muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Mohamed Swabir pamoja na washkaji zake wengine watatu akiwemo Sappy walilala kwa siku moja kwenye kituo cha polisi kati jijini Nairobi kabla ya kuachiwa jana jioni.
Redsan amesema alikamatwa kimakosa.
TAG