Steve RnB afunga ndoa, mke wake anaitwa Naimana Kuyangana.


wpid-img_20741
Muimbaji wa ‘Jambo Jambo’, Steve RnB amefunga ndoa na mchumba wake wa tangu sekondari, Naimana Kuyangana. Wawili hao walisoma shule moja na pia kusoma chuo cha IFM pamoja.
Ndoa yao ilifungwa Jumamosi iliyopita kwenye kanisa la Word Alive lililopo Sinza jijini Dar es Salaam.
10632801_520833094727946_5879678710443527114_n
Bwana na Bi. Harusi wakiwa na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo
wpid-img_20751
Bi. Harusi
TAG