Matokeo yaliyotajwa Wagombea watano kwenye Urais kupitia CCM Dodoma haya hapa.

CCM
July 10 2015 inaripotiwa taarifa nyingine kutoka Dodoma Tanzania… Watu wengi wamekaa tayari kujua nini ambacho kitaamriwa Dodoma kuhusu Mgombea Urais ambae anateuliwa na CCM kugombea Urais wa Tanzania 2015.
Majina yalikuwa mengi zaidi ya 38, hii ndio list ambayo imetangazwa kuingia Top Five kupitia ukurasa wa Twitter wa CCM @ccm_tanzania
CCM II
Saa chache zilizopita Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye aliongea na waandishi wa habari kwamba majina matano yamewasilishwa Kamati Kuu na majibu itakuwa ni kesho.

Source: MillardAyo
TAG