Mkazi mmoja wa mkoa wa Morogoro amejikata kidole chake kidogo cha mkono wa kushoto ambacho huingizwa kwenye wino baada ya kupiga kura ikiwa ni hasira ya Lowassa kukosa uraisi.
Mkazi huyo pia ameharibu kadi yake ya kupiga kura na kuahidi kutopiga kura tena katika maisha yake.
Chanzo: StarTV Magazeti
Mkazi huyo pia ameharibu kadi yake ya kupiga kura na kuahidi kutopiga kura tena katika maisha yake.
Chanzo: StarTV Magazeti
No comments
Post a Comment