Video: Diamond Platnumz Ft Rayvanny - Salome


Wakali kutokea kiwanda cha Bongofleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumzpamoja na Raymond a.k.a Rayvanny wakitokea katika Laber ya WCB leo September 18 2016 wanayofuraha kushare na sisi mdundo wao mpya unaoitwa ‘Salome

Tayari nimekusogezea hapa chini video yao, ukimaliza kuitazama niachie comment yako kuniambia wametisha kwa asilimia ngapi.

Download audio hapa

TAG