Leo kwa mara nyingine tena Tanzania imeingia kwenye Headline ya kumpata Miss Tanzania 2016 baada ya miaka miwili kupita bila kufanyika shindano la Miss Tanzania, Shindano la Miss Tanzania limefanyika Mwanza kwa mara ya kwanza na mrembo kutokea Kinondoni Dar es salaam Diana Edward Lukumai amekuwa mshindi kwa kati ya warembo 30.
Miss Tanzania 2010 Genevieve Mpangala, Miss Tanzania 2015 Lilian Kamazima, Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu pamoja na Dr. Sebastian Ndege.
Christian Bella alialikwa kutoa burudani
Host alikua Jokate Mwegelo
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu
Top 5 ya Miss Tanzania 2016 ikiwa na Miss Tanzania wa 2015 Lilian Kamazima
Mshindi wa Miss Tanzania 2016 akivishwa taji na Lilian Kamazima Miss Tanzania 2015.
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward Lukumai
Top 5
Zawadi ya Miss Tanzania 2106
No comments
Post a Comment