REDIO 10 BORA ZINAZOSIKILIZWA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI

Redio 10 zinazosikilizwa sana kwenye App ya SIKILIZA Afrika Mashariki.

Sikiliza ni mtandao ambao umeanzishwa mahsusi kwa ajili ya kuwaweka karibu wasikilizaji wa redio na vipindi vyao vya redio wanavyopenda, kusikiliza popote pale duniani kwa urahisi zaidi kupitia tovuti yao ya sikiliza.co.tz au Android Application ya SIKILIZA.
Na hii ni orodha ya Redio 10 ambazo zinasikilizwa sana nje na ndani ya nchi kupitia App hiyo ya #SIKILIZA. Unaweza kuangalia list hapo chini kujua redio gani ina trend sana kupitia SIKILIZA App.




TANZANIA

  1. Clouds Fm “Imesikilza - 17,621
  2. EFM  “Imesikilza - 12,089
  3. Radio Safina “Imesikilza - 6,871
  4. TBC International “Imesikilza - 5,093
  5. Jembe FM  “Imesikilza - 4,793
  6. Capital Radio “Imesikilza - 4,433
  7. Times FM  “Imesikilza - 3,718
  8. Uhuru FM  “Imesikilza - 2,989
  9. Kasibante FM “Imesikilza - 2,716
    10. Choice FM  “Imesikilza - 2,683

KENYA
  1. Kameme FM - Imesikilza - 2,686”
  2. Milele FM - Imesikilza - 2,295”
  3. Musyi FM - Imesikilza - 2,270”
  4. Sulwe FM - Imesikilza - 1,045”
  5. Inoooro FM - Imesikilza - 1,038”
  6. Baraka FM - Imesikilza - 717”
  7. Jay FM - Imesikilza - 493”
  8. HOT 96 - Imesikilza - 436”
  9. Vuuka FM - Imesikilza - 422”
  10. LionAfriQ FM - Imesikilza - 377”


UGANDA
  1. 100.2 Galaxy FM - “Imesikilza - 834”
  2. Capital FM - “Imesikilza - 721”
  3. CBS Radio Buganda - FM 88.8 - “Imesikilza - 602”
  4. Akaboozi FM - “Imesikilza - 567”
  5. Radio One FM - “Imesikilza - 495”
  6. CBS Radio Buganda FM - 89.2 - “Imesikilza - 391”
  7. Beat FM - “Imesikilza - 358”
  8. Mbabule FM - “Imesikilza - 321”
  9. HOT 100 - “Imesikilza - 311”
  10. Divine Radio - “Imesikilza - 300”


TAG