Belle 9 anatarajia kuwaongeza binadamu Vitamin muhimu mwilini, Vitamin Music.
Muimbaji huyo kutoka Morogoro ameiambia Bongo5 kuwa amemshirikisha Joh Makini kwenye wimbo huo uliotayarishwa na producer wa Classic Sounds, Mona Gangster.
Vitamin Music ni jina la album aliyowahi kusema ataitoa msanii huyo. “Album iko palepale, ila mazingira tu ya utoaji kidogo yanahitaji umakini,” amesema Mona.
No comments
Post a Comment