The Insider ya Uganda imeripoti exclusively kuwa Club ya 40/40 iliyoko New York, Marekani inayomilikiwa na mfanyabiashara na rapper Shawn Corey Carter aka Jay Z, imefungua tawi jijini Kampala, Uganda.
Tawi hilo 40/40 club ya Kampala ambalo linadaiwa kuwa ndio la kwanza kwa Afrika nzima limefunguliwa rasmi Ijumaa iliyopita September 26.
40/40 ya Kampala kwa ndani
Taarifa hiyo imeongeza kuwa club hiyo ina mpango wa kufungua matawi mengine Afrika Mashariki.
40/40 ya New York
No comments
Post a Comment