Wasanii wanaotarajiwa kufanya makamuzi usiku wa leo kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mapema leo walipata nafasi ya kutembelea radio za mkoa huo ambazo ni Mbeya Fm, Bomba Fm na Generation Fm.
Nay wa mitego akiwa na Nay Lee wakiwa Generation Fm
Nay wa Mitego na Mr Blue wakiwa Bomba Fm
Wasanii ambao watakuwepo kwenye Fiesta wakiwa Mbeya Fm
No comments
Post a Comment