R.I.P: Muimbaji wa ‘Hujafa Hujaumbika’ na ‘Usidharau Usiyemjua’ Side Boy afariki dunia.


1454892_625188920874661_1822191609_n
Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva Said Salim aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia.
Side Boy amefariki leo katika hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani Lindi. Aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika’, ‘Usidharau Usiyemjua’ na ‘Kua Uyaone.’
1794559_657772844282935_732435206_n

TAG