Kauli ya Victoria Kimani kuhusu kutumbuiza kwenye Fiesta Dar.

927471_874963292516104_1787776144_n
Victoria Kimani anatarajia kuungana na mastaa kibao wakiwemo rapper wa Marekani, T.I., msanii wa Nigeria, Waje na wasanii wengine wa Tanzania kwenye kilele cha Serengeti Fiesta 2014 jijini Dar es Salaam.
Kupitia Instagram, Victoria Kimani amesema ana furaha kubwa kuwa mmoja wa wasanii watakaotumbuiza.
“BONGO ! I’M SO EXITED TO BE PERFORMING AT THE 2014 SERENGETI. See you soon! Oct. 18th – Leaders Club #TANZANIA Nakupenda Sana.”
Wasanii mbalimbali kutoka nje ya Tanzani akiwemo T.I. wanatarajiwa kuanza kuingia Dar Ijumaa hii.
TAG