Maurice Kirya aisifia ‘Asubuhi Itafika’ ya Kinye ‘Why have I never heard of you’.

Wimbo wenye ujumbe muhimu kwa waliokataa tamaa kutoka kwa mhadhili msaidizi wa chuo kikuu cha Saint Augustine cha Mwanza, Wynjones Kinye ‘Asubuhi Itafika’ umewagusa watu wengi na tena wengine huwezi kuwategemea. Mmoja wa watu waliokoshwa na wimbo huo ni msanii mkongwe wa Uganda, Maurice Kirya.
10724956_1536678266567687_1075725888_n
Huu ni ujumbe wa watu wengine walioguswa na wimbo huo.

10732051_1509195759330424_639680546_n
10727488_365618443614850_1245457379_n
TAG