
Mtoto Salim akitoa elimu kwa wananchi.

Umati wa wakazi wa Temeke wakiwa makini kumsikiliza mtoto…UMATI wa wakazi wa Temeke jijini Dar, jana walikusanyika kumshangaa mtoto, Salim mwenye umri wa mika 13 kufuatia uwezo wake wa kujua mambo mbalimbali sambamba na kutoa elimu akhera na dunia.
(Habari/Picha na: Gabriel Ng’osha GPL)
No comments
Post a Comment