PICHAZ: Huyu Ndio Afande WP.8898 Veronica Mdeme Alietimuliwa baada ya picha zake wakilana uroda na askari mwenzake kunaswa.


UDAKU NI KAZI.....Picha zaidi za yule afande wa kike, Veronica Mdeme alietimuliwa kazi na wenzake wawili kwa kosa la kupiga picha wakilana DENDA.Taarifa zaidi kutoka mkoani Kagera, zinaeleza baada ya kusambazwa kwa picha hiyo na kuonekana katika mitandao ya kijamii, WP Veronica alianguka ghafla na kupoteza fahamu kwa mshtuko wa tukio hilo.

Sio mbaya yote maisha..Hizi hapa picha mtoto Vero....hehehe ni MSUPAA....

TAG