Lile tamasha kubwa la Nyama Choma sasa linahamia pande za Mwanza aka Rock City ambako nyama za mbuzi, ng’ombe zitahusika pale kati. Awamu hii wakazi wa Mwanza watakutana kumingle na kupata nyama zilizochomwa kwa ustadi mkubwa na wachomaji mbalimbali kwenye kiota kinachotikisa kwa sasa jijini humo, Jembe Beach kilichopo Malimbe, Nyegezi tarehe 25, October. Jikumbushe kwa kuangalia picha za tamasha hilo lililofanyika Dar es Salaam, September 6.
Tazama picha zaidi kwenye ukurasa wa Facebook wa Nyama Choma Festival.
No comments
Post a Comment