Diamond Platnumz ni msanii wa mwezi October, (#AoTM) wa MTV Base.

DiamondMsanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz ndiye msanii wa mwezi huu wa kituo cha MTV Base. Katika kampeni hiyo iitwayo #AoTM msanii mmoja hufanyiwa kampeni ya mwezi mzima kwenye kituo hicho. Mwezi uliopita alikuwa Casper Nyovest wa Afrika Kusini.

Diamond akiwa kwenye mtandao wa MTV Base
Hivi karibuni MTV Base walizunguka kumrekodi Diamond kwenye mitaa mbalimbali ya jiji la Johannesburg, Afrika Kusini kama sehemu ya kampeni hiyo.
TAG