Fid aliandika katika picha hii: Baada ya kuitazama hii picha.. Nilijikuta nasema hivi—-> ” Jamani huyu @nisherbybee hapendi dharau kabisa emoji ‘ Au mnaniambiaje..!!!???”
Baada ya Hefemi kupokea pongezi nyingi kwa video ya ‘3 Chafu’ ya Professor Jay na Adam Juma kupongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye video ya ‘Pacha Wangu’ ya Rich Mavoko, mshindi wa tuzo za watu, Nisher anatarajia kutafuta point zake tatu kwa kushoot video ya wimbo wa Young Killer aliomshirikisha Fid Q ’13’.
“TUMEKASIRIKA SANA ROUNDI HII,” ameandika Nisher kwenye picha ya Young Killer ya video hiyo iliyofanyika kiwandani. “I give you, “YOUNGKILLER” Like You’ve Never seen Before! #XR,” ameandika kwenye picha nyingine.
Young Killer aka Msodoki
Nisher akiwa kazini
Fid Q na Young Killer
No comments
Post a Comment