Picha: Hakuna cha ustaa, muone Rihanna akikaguliwa airport kama raia wa kawaida.

1412913472694_Image_galleryImage_October_9_2014_Rihanna_ar

Unaweza kudhani mtu maarufu kama Rihanna hupita kwenye uwanja wa ndege bila kufanyiwa ukaguzi kama watu wengi, lakini sivyo.
MailOnline imepata picha ya muimbaji huyo akipita kwenye kaunta za ukaguzi alipokuwa akisafiri kutoka Miami. Kama kawaida alitakiwa kuvua vidani vya thamani alivyokuwa amevaa pamoja na viatu vyake.


1412913826481_Image_galleryImage_October_9_2014_Rihanna_ar

1412979335501_Image_galleryImage_127395_Rihanna_dressed_in
1412978754645_wps_9_MANDATORY_BYLINE_TO_READ_


1412979352074_Image_galleryImage__MANDATORY_BYLINE_TO_READ
1412979366659_Image_galleryImage__MANDATORY_BYLINE_TO_READ
TAG