Banky W na Millen Magese wakiwa na sehemu ya timu kwenye project hiyo
Miss Tanzania wa zamani, Happiness Millen Magese na CEO wa label ya EME (iliyomtoa Wizkid), Banky W ambaye pia ni muimbaji wa R&B, wanasoma kwenye chuo kimoja, New York Film Academy. Wawili hao pia ni marafiki wa karibu.
Kama sehemu ya kazi za masomo anayoyachukua kwenye chuo hicho ambayo ni uongozaji wa filamu, video za muziki na vingine, Banky W amemtumia Millen kama model kwenye project yake ambayo hata hivyo hajaiweka wazi kama ni video ya muziki au filamu fupi.
“A HUUUUGE thank you to my supermodel friend, the one & only @ladivamillen, for being a part of my production. She slays. #filmSchool #nyfa #DirectorW,” ameandika Banky kwenye moja ya picha alizoweka kwenye mtandao wa Instagram.
Banky W na Millen
Naye Millen kwenye moja ya picha alizoweka ameandika: Duh ! It’s so hard to be sexy emojibut following my director’s directions I guess I tried emojiemojicc @bankywellington #actingforfilm film #Filmmaking #Banky W Concept #schoolproduction #New York Film Academy.”
Banky na Millen wakiwa kitandani
Millen ana muda mrefu kidogo kwenye chuo hicho
No comments
Post a Comment