Baada ya ndoa yao kuingia dosari na kutengana hivi karibuni, Nick Jumapili iliyopita akiwa anatoka gym kifua wazi ameonekana akiwa amechora Tattoo nyingine kubwa zaidi mgongoni, na kuiziba ile ya mwanzo yenye jina la ‘Mariah’.
Tattoo mpya ina picha ya Yesu akiwa msalabani na juu yake kuna ndege au malaika.
No comments
Post a Comment