Wakazi wa mkoa wa Singida usiku wa kuamkia leo wamepata burudani ya kutosha ya Serengeti Fiesta ambapo zaidi ya wasanii 15 walitumbuiza.
Show hiyo iliyofanyika katika katika uwanja wa Namfua ilihudhuriwa na wakazi wa Singida na vitongoji vyake huku Nay wa Mitego, Mr Blue, Dully Sykes, Makomando, Linah, Recho, Mwana FA, Nick wa Pili, Jambo Squad, Mo Music, Barakah Da Prince, Edo Booy, G Lack, Stamina pamoja na Young Killer walitoa burudani ya kutosha.
Adam Mchomvu alipata wakusambaza naye upendo
Barakah
Dj Fetty na Adam Mchomvu
Dully akiimba na wakazi wa Singida
Edo Booy
Full raha Singida
Ice Boy
No comments
Post a Comment