Mashabiki waliofika kushuhudia show ya mapacha wa P-Square jijini Lagos, Nigeria Jumanne wiki hii, walijikuta pia wakishuhudia ajali aliyoipata Peter Okoye aliyeanguka kutoka jukwaani hadi chini wakati akitumbuiza. Peter alipata maumivu kidogo ya mguu.
Baada ya ajali hiyo Peter aliandika kwenye Instagram:
“I’m human,I’m not perfect. But I’m thankful. I knw I will be fine b4 my next concert dis weekend in Congo Lubumbashi,Dubai …… Thanks peeps”
No comments
Post a Comment