Picha: Wema Sepetu afunga ndoa na Luis Munana wa Namibia, je ni movie tena?

12063204_170966306581270_1126774933_n
Wema Sepetu amefunga ndoa kwa mara ya pili mwaka huu – kwenye movie bila shaka!. Baada ya miezi kadhaa iliyopita kufunga ndoa kwenye movie na JB, Wema anaonekana kufanya movie nyingine tena ambayo anaishia kuwa mke wa mtu – at least kwa inavyoonekana kwenye Instagram.
12106218_409381579271931_1358045637_n
Awamu hii japo hajaweka wazi kama ni movie, Wema ameonekana kwenye picha na mshiriki wa Big Brother Africa The Chase Luis Munana wa Namibia.
10724124_744746642296145_697792812_n
“Smile To Change Your World , BUT Don’t Let The World Change Your Smile,” ameandika Luis kwenye Instagram.
Kwenye picha nyingine ameandika: Faheem is happy! Faheem is at Peace ! #InShaAllah.”
12093488_1515860515401637_2222744_n
Wema pia amepost picha hizo kwenye akaunti yake na kuwaacha mashabiki wakiwa na majibu yanayotofautiana.
Source: Bongo5
TAG