Gosby kuachia ngoma kila Jumatano kabla ya kutoa mixtape yake ‘MissTape’.

10547342_591123081000251_262534127_n
Rapper Gosby amesema kila Jumatano atakuwa akiachia ngoma mpya wakati akijiandaa kuachia mixtape yake iitwayo ‘MissTape’.
Jumatano hii aliachia wimbo uitwao ‘Blame On Me’ aliomshirikisha Godzilla. “Hii ngoma tuliifanya 2012,” Gosby ameiambia Bongo5.
“Adam Juma pia alihusika kuandika. Sasa ntakuwa naachia ngoma kila Jumatano mpaka nitakapotoa mixtape yangu.”
Isikilize ngoma hiyo hapo chini.
TAG