Christina Milian adai bado wanapendana na Lil Wayne

Screen-Shot-2014-08-25-at-6.34.41-PM
Christina Milian amedai kuwa pamoja na kuachana na Lil Wayne bado ni marafiki na wanapendana.
Akiongea na HuffPost Live Jumatatu hii, Milian alisema kuwa wote ni watu wazima na waligundua kuwa sio vizuri kulazimisha uhusiano huo.
“What’s fantastic about everything is we’re adults and we understand maybe it’s not the right time for us,” alisema.
“But we do love each other and I think the best thing to do is preserve our friendship and not ruin it with trying to force it. … When it comes to him, we still love each other, so it’s just appreciating each other and just chilling out. No drama,” aliongeza.
Alidai kuwa bado wamekuwa wakiongea kila siku na huenda wakajaribu tena kuurejesha uhusiano wao. “Eventually, who knows? It might be the right time, this might be it,” alisema.
TAG